Pages

February 7, 2009

CHEKA UISHI MILELE!!! KWI! KWI! KWI!

An American preaching couple ( Reverend Mr & Mrs Stumbles) held a crusade in Kiambu where Njoroge, their Kiswahili translator, did a real mess of the whole event..... and meaning

Rev STUMBLE: Everything comes from above.!! Kamau: Vitu vyote huja juu juu,

STUMBLE: So you see my brothers and sisters, Kamau:.......Basi ndugu zangu waangalieni akina dada,

STUMBLE: know perfectly well, Kamau:.....Na muwajue vizuri sana,

STUMBLE: That all world affairs, Kamau:.........Kwamba mapenzi yote duniani,

STUMBLE: are successfull only if held from above, Kamau:.............Hufanikiwa tu ikiwa mmeshikana juu juu.

STUMBLE: Remember, faith is your pillar, Kamau:...Kumbuka kuuamini mlingoti wako,

STUMBLE: Keep it first and above, Kamau:..............uuweke kwanza juu juu.

STUMBLE: Let it run very deep and strong, Kamau:...............Ndo kisha uukimbize ndani kabisa tena kwa nguvu,

STUMBLE:Should anybody want to test you, Kamau:..............Mtu yeyote akitaka kukuonja,

STUMBLE:......will feel its work, Kamau:...............Ataisikia kazi yake

STUMBLE: Then from deep inside you'll feel peace pouring out, Kamau:........ndo kisha baadaye utasikia kutoka ndani sehemu moja ikimwagika nje,

STUMBLE: That peace will flow and enter even those you are with, Kamau:.......Sehemu hiyo ita tiririka na kumwingia uliye naye,

STUMBLE: and that peace will remain. Kamau:..............Na sehemu hiyo itabakia.

STUMBLE: Amen. Kamau:............Huyo ni mwanamme ......!!

2 comments: