Pages

February 28, 2009

Hasheem aendelea kutesa USA.

Kijana Hasheem Thabit anaendelea kufanya vyema huko majuu, fuatilia mahojiano yake zaidi hapa>>>>

1 comment:

  1. Heshima kwako Kaka.
    Kijana anafanya vema. Anajitahidi sana na naamini na kuomba kuwa hatabadilika maana anaanza kuitambulisha nchi. Nafasi aliyonayo kwa timu yenye namba a juu kabisa katika vyuo hapa inamuweka kwenye spotlight. Akiwa mwema ataifanya nchi ianze kutambulika kwa mema. Japo si mwakilishi wa nchi lakini vyombo vya habari vitamchukulia hivyo atake asitake. Kwa hiyo natambua anatambua nafasi yake kwa jamii yetu
    Kila la kheri H.T

    ReplyDelete