Kama wewe ni mkazi wa maeneo ya Ada Estate, Mwananyamala, Kijitonyama, Mwenge, Mlalakuwa,Makongo Juu, Mbezi beach,Masaki,Tegeta na Sinza n.k. jiandae kukosa maji baada ya siku saba ama fanya haraka kalipe bili na madeni yako yeto kwani DAWASCO inadai kuwa haya ni makazi ya watu sugu kulipia huduma ya maji yaani ni asilimia kati ya 20 na 50 tu ndo wanalipia.
No comments:
Post a Comment