Pages

February 28, 2009

Birth Day yangu hi wapi???

Mdau anasema kazaliwa tarehe 29 mwezi wa pili sasa arihadiwa zawadi nono na mpenzi wake sasa hajui hafanyeje maana anaona yapita dry. Je aisherehekee lini siku yake hii muhimu?????

No comments:

Post a Comment