Pages

February 23, 2009

CUF Chama mbadala

CHAMA CHA WANACHI CUF KIMEANZA MKUTANO WAKE MKUU WA KITAIFA WA SIKU TATU AMBAPO PAMOJA NA MAMBO MEMGINE KITACHAGUA VIONGOZOZI WAPYA AMA KUWAREJESHA WAZAMANI MADARAKANI.

MKUTANO HUO MKUU ULIUDHURIWA NA MABALOZI MBALIMBALI NA VIONGOZI KADHAA WA VYAMA IKIWEPO CHAMA TAWALA CCM KILICHOWAKILISHWA NA MWENYEKITI WA MKOA DSM KWA NIABA YA MAKAMU WAKE PIUS MSEKWA.

KILA LA KHERI CUF.

No comments:

Post a Comment