Pages

February 21, 2009

Pengo aazimisha silver Jubilee.

Askofu Mkuu wa Jimbo kuu Katoliki la Dar Mwadhama Polycarp Kadinali Pengo leo ameazimisha miaka 25 ya uaskofu kwa ibada iliyoudhuriwa na viongozi mbalimbali akiwemo Rais mstaafu Ben Mkapa.
Pia ametumia shereh hizo kuzindua rasmi TV Tumaini.

No comments:

Post a Comment