"Cheeers" JK na mgeni wake Rais Abdullah Gul wa Uturuki wakigonga glasi wakati wa dhifa ya kitaifa iliyofanyika ikulu jijini Dar es Salam jana usiku
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akimpa zawadi mke wa Rais wa Uturuki Bi.Hayrunnisa Gul wakati mgenu huyo alipomtembelea Mama Kikwete katika ofisi za WAMA leo hii.
kaka kazi nzuri sana keep it up!Pia naomba uwajuze watanzania kwamba nimefungua blog inayoitwa http://ajali-traumaclass.blogspot.com (Mr. Bobos Class)Mr. Bobos Class, ni blog inayotoa taarifa mbalimbali juu ya madhara ya ajali mbalimbali zitokanazo na matumizi ya mashine, magari au hata vifaa mbalimbali vya kazi kama mapanga na majembe.Mbali ya kutoa taarifa pia ina lengo la kuwaelimisha waliopata madhara hayo ni jinsi gani wanaweza kupata msaada baada ya kuathirika kutokana na ajali mbalimbali.Blog hii itaungana na wadau mbalimbali wanaohusika na masuala ya ajali kwa njia moja au nyingine, kuelimisha na kutoa ushauri. Naomba wafahamishe watanzania juu ya hilo ikiwa ni njia moja ya kujaribu kupambana na jinamizi la ajali Tanzania. Asante.nitashukuru kupokea picha zako zinazohusu ajali.Asante kwa ushirikiano.
ReplyDelete