Pages

February 26, 2009

Boss wa UN atua Bongo

Katibu Mkuu wa UN Ban Ki Moon ametua mchana huu Bongo kuanza ziara ya siku mbili na kupokelewa na Waziri wa Mambo ya Nje Bw Bernard Membe, anatarajiwa pia kwenda Zanzibar na Arusha hapo kesho. Karibu sana BONGO Bw Ban, hapa ndipo anapotoka msaidizi wako wa karibu Mama yetu Dr Asha Rose Migiro

No comments:

Post a Comment