Pages

February 25, 2009

Lipumba kungoka CUF leo?

Uhakiki ulikuwa wa nguvu hili kuakikisha wanaoingia ni wajumbe halali tu.
Coplo Mstaafu Stephen Masanja anagombea uenyekiti pia.
Prof Abdalah Safari
Uhakiki kabla ya kuingia mkutanoni kwa ajili ya kupiga kula.
Chama cha CUF kinafanya uchaguzi wake mkuu leo hapa Diamond Jubilee ambapo nafasi za Mwenyekiti, Makamu Mwenyekiti na Katibu Mkuu zinatarajiwa kujazwa,
Hata hivyo ni nafasi ya Mwenyekiti tu ndo yenye upinzania ambapo wanachama wawili wameomba kugombea na Prof Lipumba ambaya anatetea nafasi yake, Katibu Mkuu Maalimu Seif na Makame Machano Khamis wamekosa wapinzani.
Wanaogombea Uenyekiti pamoja na Lipumba ni Prof Abdalah Safari na Mstaafu wa JWTZ Cpl Spephen Masanja.

No comments:

Post a Comment