Ofisa Mauzo wa Kampuni ya simu za mkononi ya Tigo Kanda ya Kusini, LadislausKarlo (kushoto), akimkabidhi Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Iringa,Pindi Chana (kulia) sehemu ya mabati 113 yenye thamani ya shs milioni3 yaliyotolewa na kampuni hiyo kuchangia ujenzi wa Shule ya Sekondari ChiefKidulile iliyopo Wilayani Ludewa Mkoani Iringa. Wa pili kushoto ni Kaimu Mkuu wa Wilayaya Ludewa, John Mahali.
No comments:
Post a Comment