Pages

February 28, 2009

Kikwete awaonya viongozi wastaafu

Rais Jakaya Kikwete amewaonya viongozi wa serikali wastaafu kuacha kuingilia serikali ya sasa, kwa kutoa kauli ‘vijiweni’ zinazoashiria kuwa serikali yake imeshindwa kiutendaji. Bila kutaja moja kwa moja wahusika, Rais Kikwete alisema viongozi hao wanasahau kuwa wanayoyasema hawakuyafanyia kazi wakati wa uongozi wao. Ifate hapa

No comments:

Post a Comment