WADAU HII SASA INATISHA YAANI NDUGU ZETU SASA WANATAFUTWA KWA MTUTU WA BUNDUKI? HII NI ZAIDI ATA YA PESA, HIVI KWELI SERIKALI IMESHINDWA? JE JESHI LA POLISI NIN KWELI HALIJUI WAARIFU HAWA NI WAPI WANAPELEKA VIOUNGO HIVI VYA NDUGU ZETU HAWA? JE WALE WALIOKUWA EXPOSED NA VICKY NTETEMA WA BBC WAKO WAPI HADI SASA? NI NINI JESHI LA POLISI LIMEFANYA JUU YAO? AU KUNA USHIRIKIANO USIO RASMI HAPA? MTU ANALAZIMIKA KUWAZA MENGI KUTOKANA NA UKWELI KUWA HAKUNA HATUA INAYOONEKANA KUFANYWA NA WAHUSIKA TOKA TAARIFA ILE NZURI YA UCHUNGUZI KUTOLEWA NA HADI LEO HII MAUAJI HAYA YA KINYAMA YANAPOENDELEA KUFANYIKA NCHINI. HII INASIKITISHA SANA.TAARIFA TOKA KIGOMA NA KUTHIBITSHWA NA RPC NI KUWA:
WATU WENYE SIRAHA WAMEVAMIA NA KUMPIGA RISASI
MTU MWENYE ULEMAVU WA NGOZI YAANI ALBINO
KUMUUA NA KUONDOKA NA MKONO WAKE.
December 4, 2008
ALBINO sasa wawindwa na mitutu..
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Arts n' Photo sildes
"SILENT VOICES" PHOTO EXHIBITION
Future Stars!
Some of published work
RIGHT TO BE RICH
Popular Posts
-
Chakula chapikwa karibu kabisa na vyoo vilivyo kulia. KABLA YA KUINGIA CAFETERIA WAKUTANA NA VITUUZI MLANGONI. BAFUNI NAKO NI BALAA. NA H...
-
Umati wa watu unaozidi kufurika huko Loliondo kwa dhumuni moja tu, kupata dawa ambayo inaaminika inatibu magonjwa sugu ama yaliyoshin...
-
The Edmark Double Bonus Marketing Plan consists of both the Point Sharing System and the Block System. Thus, giving maximum benefits ...
-
Alert over Kenya's first case of H1N1 flu Minister for Public Health and Sanitation Beth Mugo addresses the media in Nairobi. Kenya...
-
Bernard Madoff gets maximum 150 years in prison NEW YORK – Convicted swindler Bernard Madoff was sentenced to 150 years in prison Monda...
-
Mshindi wa Kiti cha Urais Zambia, Michael Sata. Jubilation and dance characterised the streets of Lusaka , the country’s capital...
-
August 13-16th, 2009 in Nairobi, Kenya. Kelele is an annual African bloggers’ conference held in a different African city each year and ru...
-
Uongozi wa Shule za Marian Bagamoyo unawakaribisha wote kwenye Fundraising Dinner hii ili kuchangisha fedha ya Kujenga na kue...
-
WINNERS Boulevard.: Biashara ya Masoko ya Mtandao : Fikiria kama ungekuwa walipwa kwa kila ushauri wa kutumia huduma ama bidhaa ya kampuni a...
-
Porn image ban sparks concern A new law, slated to come into force in January, will make the possession of images deemed to be of an extre...
No comments:
Post a Comment