Kampeni za uchaguzi mdogo jimbo la Tarime Mkoa wa Mara kujaza nafasi ilioachwa wazi na Marehemu Chacha Wangwe zimeitimishwa leo kwa Amani na utulivu jimbo humu.
Kesho mapema vituo vipatavyo 406 na sita vitafunguliwa kuanzaia saa 12 asubui ambapo wapiga kura wapatao 146, 919 wanatarajiwa kuchagua mrithi wa Wangwe.
Kila La heri wananchi wa TARIME.
No comments:
Post a Comment