
JK akikata keki ya birth day.

Rais JK akimlisha keki mtoto Mohamed wakati wa hafla fupi ya kusherekea miaka 58 ya kuzaliwa kwake iliyoandaliwa na wafanyakazi wa ikulu ya Dar es Salaam leo.Mtoto Mohamed ni yatima ambaye Rais Kikwete na Mkewe Mama Salma wanamlea katika familia yao.
Katibu mkuu ikulu Bwana Michael Mwanda akimpa kadi ya Birthday Rais Jakaya Mrisho Kikwete kwa niaba ya ya wafanayakazi wa ikulu wakati wa hafla fupi ya kumpongeza Rais Kikwete kwa kutimiza miaka 58 leo.
ebwana bonge la ujiko yaani mimi sijawahi kufanya hivi katika maihs yangu. natamani sana kupata mwaliko wa kiongozi kama huo kwani najua kuna kula kula ukizingatia mimi na kulakula damudamu. kila la heri mtoto jakaya wa bwagamoyo bagamoyo ila mshikaji naye yupo katika hizo ebwa enee
ReplyDelete