
Msimamizi wa Uchaguzi Trasias Kagenzi alikuwa na kzi ya ziada kutuliza wapiga kura baada ya baadhi ya vituo kuwa na kasoro mbalimbali kama kutofuhuliwa hata baadhi yake kulazimisha kuvuja mlango.

Joseph Marwa mmoja wa walemavu waliojitokeza kutumia haki yao ya kikatiba kuchagua viongozi wao.

Wacha twende tukamwite Kamanda Tossi

Uchaguzi kwa sehemu kubwa ulikuwa wa amani sana kinyume cha matarajio ya baadhi ya watu.
No comments:
Post a Comment