Pages

September 29, 2008

TANESCO YASITISHA MGAO.

TANESCO IMESITISHA MGAO WA UMEME BAADA YA WATAALAMU TOKA USA KUWASILI NA KUREKEBISHA KASORO ZLOJITOKEZA KATIKA MITAMBO YA KUZALISHIA UMEME YA SONGAS WIKI ILIYOPITA.

1 comment:

  1. Anonymous3:31 PM GMT+3

    YASEMEKANA KATATIZO KALIKUWA KADOGO SANA YAANI JAMAA WAMESHANGAA SABABU YA KUWAITA, KWANI WAMETEKENYA KIDUCHU NA UMEME HUO...

    ReplyDelete