Mpambanaji au mpiganaji Athumani Hamis atimaye jana alifanikiwa kuondoka kwenda Bondeni kwa matibabu zaidi tokana na ajari ya gari aliyopata yapata zaidi ya wiki mbili sasa uko kibiti akielekea Kilwa,
anatarajiwa kupatiwa huduma ktk Hospital ya Millpark ktk jiji la Jo'burg.
KWA NIABA YA WADAU NA WAPAMBANAJI WOTE TWAKUOMBEA KWA MWENYEZI MUNGU MATITABU HAYO YAENDE SALAMA UPATE KUPONA NA HATIMAYE UREJEE KTK URINGO KUENDELEA NA MAPAMBANO,
TWAKABIDHI MAOMBI YETU KWA BABA MUNGU MWENYEZI TUKIAMINI YAKUWA KWAKE HAKUNA LISILOWEZEKANA NA KUWA TUKIOMBA NENO LOLOTE KWAKE HUKU TUKIAMINI BASI TUMEPEWA NALO LIMEKUWA LETU. Marko 11:24
No comments:
Post a Comment