Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea rasmi ripoti ya uchunguzi kuhusu upotevu wa fedha katika Akaunti ya Malipo ya Nje (External Payments Account – EPA) kutoka kwa Mwenyekiti wa Timu iliyofanya uchunguzi huo, Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Johnson Mwanyika katika halfa fupi iliyofanyika leo (Jumatatu, Agosti 18, 2008) Ikulu, Dar Es salaam.
Wengine katika picha ni wajumbe wa timu iliyofanya uchunguzi huo,Mkuu wa jeshi la polisi nchini, Saidi Mwema na Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia Rushwa nchini Dr.Edward Hosea.
No comments:
Post a Comment