Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiipitia ripoti ya uchunguzi kuhusu upotevu wa fedha katika Akaunti ya Malipo ya Nje(External Payments Account-EPA) muda mfupi baada ya kukabidhiwa na mwenyekiti wa timu iliyoongoza uchunguzi huo Mwanasheria Mkuu Wa Serikali Johnson Mwanyika.Wengine katika timu hiyo ni Mkuu wa Jeshi la polisi nchini Saidi Mwema na Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia Rushwa nchini Dr.Edward Hosea.
Ripoti hiyo ilikabidhiwa kwa Rais Jakaya Mrisho Kikwete ikulu jijini Dar es Salaam leo hii.
No comments:
Post a Comment