June 20, 2008

Toi kamera

Matukio Chuma wa FCC akionesha camera feki ambazo zimejaa mjini. Sio siri wengi sana wamebambikiwa au wamelizwa toi ka hili na machinga kwa kuambiwa kuwa hii ni profesheno kamera ka wanazotumia waandishi na kuuziwa bei mbaya sana. Hii ilipatikana toka kwa mmoja wa walimu huko Mkuranga ambapo jamaa alienda kuwapiga changa la macha hata ilibidi wakakope ili waweze kununua wakiamini kuwa ni Nikon au Canon, kila moja aliwagonga kati ya 80, ooo na kuendelea, walimu hao kupitia FCC au Tume ya ushindani wamefungua kesi kudai fidia.
Posted by Picasa

No comments:

Arts n' Photo sildes

"SILENT VOICES" PHOTO EXHIBITION

Future Stars!

Some of published work

RIGHT TO BE RICH

RIGHT TO BE RICH
The ownership of money and property comes as a result of doing things in a certain way, and those who do things in this certain way — whether on purpose or accidentally — get rich, while those who do not do things in this certain way — no matter how hard they work or how able they are — remain poor. WDW Do things in RIGHT way now, but how? Call: +255716927070/+255784475576

Popular Posts

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...