Matukio Chuma wa FCC akionesha camera feki ambazo zimejaa mjini.
Sio siri wengi sana wamebambikiwa au wamelizwa toi ka hili na machinga kwa kuambiwa kuwa hii ni profesheno kamera ka wanazotumia waandishi na kuuziwa bei mbaya sana.
Hii ilipatikana toka kwa mmoja wa walimu huko Mkuranga ambapo jamaa alienda kuwapiga changa la macha hata ilibidi wakakope ili waweze kununua wakiamini kuwa ni Nikon au Canon, kila moja aliwagonga kati ya 80, ooo na kuendelea, walimu hao kupitia FCC au Tume ya ushindani wamefungua kesi kudai fidia.
No comments:
Post a Comment