Pages

May 5, 2008

RAMA AFIKISHWA KWA PILATO

Yule kijana aliyekutwa akitafuna kichwa cha mtoto Salome Yohana (3) Ramadhani Mussa pamoja na mama yake mzazi Khadija Ali Selemani wamefikishwa mahakama ya Kisutu leo na kusomewa shitaka la mauaji.

No comments:

Post a Comment