Pages

May 1, 2008

Dogo wasemaje?

rais jakaya kikwete akizungumza na kijana Sinje Ngassa (18)wakidato cha kwanza shule ya sekondari Kizingo wilayani Manyoni wakati wa ziara yake mkoani singida. JK akivishwa vazi lajadi ya jamii ya Wataturu kwenyemkutano wa hadhara mjini Itigi.

No comments:

Post a Comment