Binti akatwa masikio yote katika kituko cha ndoa ya kulazimishwaMSICHANA Robhi Thomas (15), amekatwa masikio yote na kujeruhiwa mabegani na vidole vya mkono wa kulia na baba mkwe.
Binti huyo ambaye anadai kuwa aliolewa kwa lazima baada ya baba yake kupokea mahali ya Sh350,000 alipata mkasa huo kufutia ugomvi uliotokea kati ya wazazi na baba mkwe aliyetambulika� kwa jina la Mwita Thomas Mrimi
No comments:
Post a Comment