Pages

May 1, 2008

Uvumi mtupu!!!!

Kuna uvumi ulioenea mjini hapa kuwa mzee wa vijisenti kabwia sumu, taarifa za uhakika toka kwa familia yake zimekanusha kwa nguvu uvumi huu ambao haujajulikana chanzo chake na sababu zake.
hivyo wadau huu ni rumaz tu hakuna kitu ka hicho Mzee ni mzima wa afya na anaendelea na shughuri zake.

3 comments:

  1. Anonymous3:46 PM GMT+3

    wabongo bwana kwa uzushi tu hawajambo kisa cha kumzulia baba wa watu kajiua ni nini jamani?

    ReplyDelete
  2. Anonymous3:48 PM GMT+3

    Hivi bongo pix ndo nini kuweka picha ya ivyo? mbona ka imechorwa vibaya vibaya?
    tuwekee picha nzuri tafadhali la twakushtaki sasa ivi ala!!!!!!

    ReplyDelete
  3. Anonymous1:04 PM GMT+3

    Jamani mbona hii picha kama amenyeshewa mvua ya vuli?. Au ndio mambo ya vijisenti hayo?

    ReplyDelete