Kina baba mmeipata hii? najua wengine leo au jana baada ya kusoma habari hii mmeanza kuwaangalia wanenu au mlioambiwa wanenu kwa macho mawilimawili,
hayo ndo mambo ya tekonologia ya kisasa au kipimo kinachoitwa DNA kinavyosema kwa ndoa zilizopimwa au walokuwa na mashaka na wenza wao.
JAMANI HII STORY SI NZURI MNATAKA KUVUNJA NDOA ZA WATU SASA,
ReplyDeleteFIKIRIA ITAKUWAJE PALE BABA WA WATOTO WANNE AU SITA AMBAO ANADHANI NI WANAE KABISA NA HIVYO KUWAJIBIKA KISAWASAWA KWA MALEZI NA ELIMU TENE YA GHARAMA, JE ATAKAPO TIA SHAKA NA KWENDA NA KWENDA KUWAHAKIKISHA NA KUGUNDUA KUMBE NI KANYABOYA JE PATATOSHA HAPO KWELI?
NA HILI TULITARAJIE WAKATI WOWOTE KWANI AKA KASTORY MABABA KAMEWAGUSA KWELI,
HUENDA KINAMAMA WADANGANYIFU WAKAKAUNDIA TUME AKA KAMTAMBO NA KUKADISTROI KALINDWE NA FFU AKA NA MIBOMU YA KUTUNGULIA NDEGE VINGINEVYO TWAJAKAKOSA SASA HIVI.