Pages

January 2, 2008

Vibarua zaidi ya 1500 wa Bandari Dar (TPA) Wagoma, wamefika asubui na kukuta bango linalowataka kujiunga ktk makampuni matano kuanzia leo pasipo kujua hatima yao TPA ambako wanadai kutumika zaidi ya miaka kumi.

No comments:

Post a Comment