Pages

January 2, 2008

TPA na salamu za mwaka mpya kwa vibarua, kuna wanaolala masikini wakaamka matajiri hata hapa bongoland lakini masikini hawa wamelala masikini wanaamka malofa zaidi, hivi hizi kampuni ni za nani hasa? na kwanini vibarua hawa walazimishwe kujiunga na kampuni hizi? na nini hatima yao na TPA? JE INAWATAMBUA?

No comments:

Post a Comment