Msiyakumbuke Mambo ya kwanza, wala msiyatafakari mambo ya zamani, tazama nitatenda neno jipya.... asema BWANA WA MAJESHI.
Isaya 43:18,19
Ujumbe huu ni kwa ajili yako na yangu pia.
BWANA ASEMA ATATENDA JAMBO JIPYA MWAKA HUU HAIJARISHI NI MAGUMU YEPI UMEPITIA MIAKA ILOPITA, HUU NI MWAKA WAKO WA BWANA KUTENDA MUUJIZA KTK MAISHA YAKO.
Hakika ahadi za Bwana ni kweli na amini, hivyo mwaka huu 2008 tarajia muujiza wako.
HERI YA MWAKA MPYA 2008.
No comments:
Post a Comment