Mapato si haba ati!! mia sita M zote mhh''' ila ni nini kilitokea ktk mechi ya kwanza na waganda hata kupata 234m tu? na watu walikuwa karibia sawa na waliokuwa ktk mechi hii? au ni tishio la wadau wakiongozwa na wabunge wa dar kutaka kupata ufafanuzi mapati yale au ni vijana wa Hosea waliwakalia kooni hata kushindwa kupika mahesabu ya kiingilio? maswali ni mengi kwani hata tofauti ni kubwa mnooooooo jamani zaidi ya 400M si pesa ndogo hiyo ati..........tusubiri tu muda utasema.
No comments:
Post a Comment