HALI ni Shwari......
Serikali jana ilitangaza adhari ktk maeneo ya Pwani kufuatia tishio la tsunami ambalo limezikumba nchi za Indonesia na kuua watu kadhaa, hali ni shwari kabisa hadi kufika leo asubui na wavuvi wanaendelea na shughuri zao ka kawaida.
No comments:
Post a Comment