Pages

September 15, 2007

Rais na Amiri Jeshi Mkuu Jakaya Kikwete leo hii amewapandisha vyeo Davis Mwamunyange kuwaGeneral na Kumwapisha kuwa Mkuu wa Majeshi na Abdulahman Shimbo kuwa Luten Generali na kuwa Mdadhimu Mkuu wa Majeshi ktk viwanja vya Ikulu.

No comments:

Post a Comment