
Mroki Mroki al-maarufu "Father Kidevu" au mwana blog maarufu pia Hatimaye afunga pingu za maisha na mtoto wa kinyalu, wakti wabongo wengi wako ktk uzuni ya kupigwa bao na musumbiji mbele ya mashabiki lukuki, kidevu ye ndo kwanza aenda zake ktk "mwezi wa asali". Hongera sana Father Kidevu.
No comments:
Post a Comment