A Five Star Shoe shine!
Mshapata sikia mobile shoe shiner?
Kijana Rajabu ameamua kujiajiri kwa kubuni mobile shoe shine, akiwa na kiti cha kivivu cha mteja na kigoda chake na vifaa vingine vyote katika baskeli yake yuko tayari kutoa huduma mahala popote wakati wowote. Hizi ni huduma zipatikanazo ktk Five star hotels
No comments:
Post a Comment