"Hupati sura zetu hapa leo"
Mtuhumiwa wa ujambazi wa kutumia siraha na wizi wa magari maarufu kama white (kushoto) ambaye aliwahi sababishwa kuuwawa kwa makosa kwa mkurugenzi wa zamani wa usalama wa taifa Imran Kombe na polisi kwa kufananishwa naye pamoja na wenzie 5 wamefikishwa mahakamani leo hii kujibu tuhuma.
No comments:
Post a Comment