Wenzetu wadachi wamejijenga sana hasa katika usafirishaji, kuna aina nne za usafiri wa jumuhiya, kuna tren, za chini ya ardhi ka hii, za juu, za juu za haraka na mabasi ya kisasa na kila baada ya dkk kumi treni yapita kituoni. bongo tutafikia lini hapa walipofika wenzetu?
No comments:
Post a Comment