
una urefu wa mita 2.5 kwenda juu na unazunguka eneo la mkutano kilometa kumi na tatu ikiwamo eneo la bahari ya Baltic kwa robo tatu na Inakadiliwa umegharimu Euro million 12.5 sawa na ela za madafu billion ishirini na usheee, nguzo za zege zina uzito wa kilo 800!!!!!!! si mchezo hawa jamaa wako seriazi kweli.
No comments:
Post a Comment