Ndani ya treni ya ardhini ni raha tupu. waweza kuishi mwanza au Bukoba na kufanyakazi Dar, wadachi hawa hakuna anayewasukuma kulipa nauli hakuna konda wala mpiga debe, ni ama unakata tiketi za msimu ambao ndio wengi wanatumia au ukifika kituoni unatumbukiza pesa ktk mashine na tiketi yatoka kulingana na safari uendayo kwa pesa uliyotoa, waweza pia enda bure,,,,,,ila ukikamatwa walipia tiketi ya mwaka ambazo ni euro 800.
No comments:
Post a Comment