Pages

May 26, 2007

Uzio huu umejengwa maalumu kwa ajiri ya kudhibiti waandamanaji na wote wasiousika ktk mkutano huu kukaribia eneo la mkutano, hapa ni karibu kilometa kumi toka hotelini ambapo mkutano Wa G8 utafanyika.

No comments:

Post a Comment