Kushoto Hayati Samora Machel, aliyekuwa rais wa Msumbiji, na kulia Hayati Agustino Neto aliyekuwa rais wa Angola.
Mie nafikiri huyo ni Samora na Obote wa Uganda. Blackmpingo
Je ni nani yuko sahihi kati ya hao waliotoa jibu au wengine mwasemaje?
Nitumie zawadi yangu Faza. Najua nimeshinda. Nipe ruhsa niwekewe picha yangu moja ktk blog yako.Blackmpingo
Hapana uijashinda Black Mpingo angalia tene vizuri zaidi.nitumie hiyo picha nitakuwekea.
Ni Samora Machel na Agustino Neto wa Angola hii picha imetolewa kwenye kitabu cha Nyerere
Kushoto Hayati Samora Machel, aliyekuwa rais wa Msumbiji, na kulia Hayati Agustino Neto aliyekuwa rais wa Angola.
ReplyDeleteMie nafikiri huyo ni Samora na Obote wa Uganda. Blackmpingo
ReplyDeleteJe ni nani yuko sahihi kati ya hao waliotoa jibu au wengine mwasemaje?
ReplyDeleteNitumie zawadi yangu Faza. Najua nimeshinda. Nipe ruhsa niwekewe picha yangu moja ktk blog yako.
ReplyDeleteBlackmpingo
Hapana uijashinda Black Mpingo angalia tene vizuri zaidi.
ReplyDeletenitumie hiyo picha nitakuwekea.
Ni Samora Machel na Agustino Neto wa Angola hii picha imetolewa kwenye kitabu cha Nyerere
ReplyDelete