Wanafunzi wa Chuo kikuu Mlimani na cha Ardhi wakiwa ktk mgomo siku ya pili wakidai kupewa mkopo asilimia mia 100% badala ya 60%. Je tutafika? nini ufumbuzi wa jambo hili kwani limekuwa likiibuka na kuzimika kila baada ya muda. Wapi twaipeleka elimu yetu?
No comments:
Post a Comment