Pages

April 14, 2007

Huyu ndiye Mturuki mwenye asili ya Ufilipino Isabena Macanas aliyesweka bwimbwi au Unga mbeleni, Tumboni na kwenye viatu. all the way from Turkey to bring heroin to Zanzibar? Je hii ni Mara ya ngapi hata kufikia arobaini yake? Kikubwa hakutaka kusumbua mahakama alikiri kosa na kupewa kifungo miaka saba Segadance akale ugali mandondo.

No comments:

Post a Comment