Pages

April 14, 2007

Je waweza kuwatambua walio na Mwalimu? donge nono kutolewa.

6 comments:

  1. Anonymous1:29 PM GMT+3

    Kushoto Hayati Samora Machel, aliyekuwa rais wa Msumbiji, na kulia Hayati Agustino Neto aliyekuwa rais wa Angola.

    ReplyDelete
  2. Anonymous8:03 PM GMT+3

    Mie nafikiri huyo ni Samora na Obote wa Uganda. Blackmpingo

    ReplyDelete
  3. Je ni nani yuko sahihi kati ya hao waliotoa jibu au wengine mwasemaje?

    ReplyDelete
  4. Anonymous6:49 PM GMT+3

    Nitumie zawadi yangu Faza. Najua nimeshinda. Nipe ruhsa niwekewe picha yangu moja ktk blog yako.
    Blackmpingo

    ReplyDelete
  5. Hapana uijashinda Black Mpingo angalia tene vizuri zaidi.
    nitumie hiyo picha nitakuwekea.

    ReplyDelete
  6. Anonymous8:05 AM GMT+3

    Ni Samora Machel na Agustino Neto wa Angola hii picha imetolewa kwenye kitabu cha Nyerere

    ReplyDelete