UZINDUZI WA JUKWAA LA KISASA LA INJILI PAMOJA NA VYOMBO.
Hili ni jukwaa la kisasa kabisa linalotarajiwa kuzinduliwa leo hii na Mtu wa Mungu Nabii BG Malisa.
.
Mchngaji kiongozi wa kanisa la Ukombozi Tegeta
Pastor Tetemeko (Kulia) akimtambulisha PastorPaul, pastor Paul alikuwa
amepooza mwili mzima kwa zaidi ya siku 24, alikuwa hawezi. kutembea wala
kunyanyuka, siku ya mkesha wa kinabii, mkesha wa maajabu ndipo alifunguliwa,
mpaka sasa anatembea.
Wachungaji, Shangwe toka Shinyanga, Imani toka Sengerema na
Paul toka Morogoro wakati wa ibada ya kinabii na uzinduzi wa jukwaa la kisasa.
No comments:
Post a Comment