Pages

March 22, 2014

Edmark Tanzania 2nd Anniversary and Natural Beauty Product Launch



Welcome to Edmark Tanzania 2nd Anniversary and launching of Unique Natural Beauty products launch on  March 29th, 2014, from 10:30 am, at Msasani along Kimweri Road. CONTACT 0716927070.

Bidhaa hizi za uembo zimekuwa zikisubiriwa kwa muda mrefu sana, baada ya kupata vibari vyote toka malmaka husika serikalini sasa zitatambulishwa rasmi nchini siku hiyo ya shereha kutimiza miaka 2. 

Huu ni mkombozi kwa watu wote wanaopenda urembo asilia, pia wale wote waliokwisha athirika na madawa yenye kemikali kali wanaweza kutumia hizi kutunza ngozi zao. 





WATU WOTE MNAKARIBISHWA, HAKUNA KIINGILIO

No comments:

Post a Comment