Pages

March 22, 2014

A PICTURE THAT SAY MILLION WORDS!

Hii picha ni nzuri sana, nimeipenda sana, hongera kwa aliyepiga picha hii, inaongea zaidi ya maneno millioni moja unapozungumzia mchakato wa katiba, inaongea vitu vingi sana kuliko unavyoweza kueleza, inaonesha jukumu kubwa lililo mbele ya Mheshimiwa Rais kiasi kwamba inabidi aipitie hotuba yake mara kadhaa, pengine kuongeza au kupunguza baadhi ya mambo.

NICE PIX.

No comments:

Post a Comment