Pages

November 19, 2011

Breaking Newzzzzzzzzzzzzzzz AJARI MBAYA BASI LA TAQWA

Taarifa zilizotufikia ni kuwa kumetokea ajari mbaya eneo la Lusaunga, Biharamulo iliyohusisha Basi la Taqwa toka Dar es Salaam na Lori la mizigo, kulinga na shuhuda wa ajari hiyo mbaya anasema wameona miili ipatayo 30 ikiwa imezagaa eneo la tukio, yahofiwa kuwa wengi wamekufa katika ajari hiyo. 




Majeruhi kadhaa wamefikishwa hospitali ya Biharamulo kwa matibabu na wengi wameumia sana. Tutaendelea kuwapa taarifa zaidi kadiri tutakapozipata, toka eneo la tukio na hospitalini.

1 comment:

  1. Hii connotation huwa inanishangaza sana,how come some1 says breakin newzz...Ktk habari kama hii,kinda celebrating?Grr rr..Ingetosha kuwa breaking news au just in/ news alert.Wajifunze namna ya kuwasilisha habari za kuhuzunisha na zileza burudani.

    ReplyDelete