![]() |
| Ma Bulkeria, Bibi pekee tuliyebakiw naye,, anawasalimu wadau woote wa Bongo Pix |
![]() |
| Buseresere - Katoro, wenyeji wanapaita Buse, safari ya Kuelekea B'mulo inaendelea, hapa ni vi-hiace , Noah na Corola Station wagon aka Mchomoko ndo zinatamba |
![]() |
| Picha ya ukumbusho, cheki jicho la uba hilo, mwenyewe utapenda. |
![]() |
| Mshikaki RUKSA |
![]() |
| Jamaa anavyokimbiza kibasi katika njia hizi utazani ni lami, vigari hivi vimezoea njia hizi kwenye lami havikimbii kabisa sijui kunani hapa |






No comments:
Post a Comment