Chama cha Mapinduzi kimeweza kutetea Jimbo la Igunga baada ya Msimamizi wa Uchaguzi jimboni humo kumtantaza mgombea wake kuwa mshindi kwa kura 26,484 dhidi ya kura 23 260 za mshindani wa karibu Chama Cha Demokrasia na Maendeleo. vyama ninane vilisimamisha wagombea tofauti na vyama viwili tu miezi 11 iliyopita.
Jumla wa wapiga kura walioandikishwa ni 174, 077
Wapiga kura waliojitokeza ni 53,672
kura halali ni 52,487,
kuna tofauti kubwa sana ya waliopaswa kupiga kura na waliojitokeza kupiga kura, katika posti ya asubui nilisema kuwa kulingana na matokeo yalivyokuwa yakilipotiwa wapiga kura hawataweza kufikia nusu ya waliojiandikisha, hali halisi ndio hiyo watu zaidi ya 120, 405 hawakujikeza, hii ni takribani asilimia 70% KULIKONI?
No comments:
Post a Comment