Pages

September 11, 2011

Zanzibar Accident UPDATES


  • Miili iliyopatikana mpaka asubui hii ni 192
  • Manusura ni 620
  • Serikali mchana wa leo itazika miili ipatayo 39 ambayo bado haijaweza kutambulika, kila mwili kuzikwa katika kaburi lake
  • Juhudi za uokoaji bado zinaendelea

No comments:

Post a Comment